BIG NEWS  

IN SHORT SCOOPS

Tunafahamu huna muda wa kusoma makala na habari na pia kutafuta vyanzo vingi vya habari kwa muda mrefu kila siku ili kujua kinachoedelea. Mwananchi Communications Limited, tumekuletea suluhisho, kuokoa muda wako huku ukifahamu kila kilijochiri kupitia huduma yetu mpya ya Instascoop ambayo inakuwezesha  kupokea habari mbalimbali  kwa ufupi (Breaking News), zenye picha mgando na Video   moja kwa moja kwenye Telegram yako.

1/5
 
PATA HABARI KUBWA KWENYE

TELEGRAM

com.w0e62c2fead6d9f882659dc73ed6efe89.pn
ENDELEA KUHABARIKA

Pata habari za papo hapo kwenye Telegram yako. Endelea kuhabarika juu ya kile kinachotokea bila kutafuta vyanzo vingi vya habari.Pata habari moja kwa moja kwenye Telegram yako

TAARIFA KAMILI

Pata wasaa wa kusoma habari kwa urefu zaidi kwa kubofya kiungo (Link) cha habari hiyo.

http://

PATA HABARI MPYA KILA SIKU
 

KUHUSU

WE ARE

Mwananchi Communications Limited ni tawi la Kampuni ya Nation Media Group. Ni kampuni ya habari inayojishughuluisha na uchapishaji wa magazeti yanayoongoza Tanzania pamoja na majukwaa ya mitandaoni. Ilianzishwa mwezi Mei 1999 ikijulikana kama Media Communication Ltd hata hivyo ilibadilishwa jina na kuwa Mwananchi Communications Ltd mwaka 2001 ilipoanzisha kutoa huduma ya matangazo na mahusiano ya umma. Nation Media Group ilichukua umiliki wa kampuni hii mnamo mwaka 2002.

 

Tangu mwaka 2002, MCL imekuwa ya kwanza katika kutoa habari zenye uhakika na kuaminika kwa watanzania wa rika zote. Kwa kipindi chote hicho, kampuni imejikita katika kuuhabarisha umma, kuelemisha na kuburudisha ikitumia majukwaa tofauti ya habari ili kuimarisha maisha ya watu na kuwawezesha kuleta mabadiliko chanya katika jamii.

 

Majukwaa yetu ya mitandaoni yanawapa fursa wasomaji na watazamaji wetu wa mijini na vijijini kupata habari za ulimwengu wakati wote. Ni njia yenye ufanisi zaidi ya kufikia mtu yeyote hapa nchini na hata nje kwa maslahi mapana ya soko la Tanzania na Mashariki mwa Afrika.

PATA HABARI MPYA KILA SIKU

IPATE LEO

© 2019 Instascoop